Sunday, 30 June 2019
#ENEWS:Indigo Ya Chris Brown Kuangukia Nafasi Ya 1 Billboard.Tazama Mauzo
Album mpya ya Chris Brown inatarajiwa kushika namba moja kwenye chati za wiki ijayo za Billboard 200 ikiwa na maana ya album iliyouza zaidi wiki hii. Kwa mujibu wa Hits DailyDouble, Indigo inatarajiwa kuuza kati ya Nakala 110,000 na 135,000 ndani ya wiki ya kwanza.
Kama Album itauza kama inavyotarajiwa basi Hii itakuwa Album ya Tatu ya Breezy kushika namba 1 kwenye “Billboard 200”, Album yake iliyopita “Heartbreak on A Full Moon” ilidondokea namba Tatu kwenye chati hizo.
Album ya “Indigo” imewashirikisha wakali wengine kama Drake, Justin Bieber, Tory Lanez, HER, Nicki Minaj, Lil Wayne, na Trey Songz.
VIDEO | Bwana Misosi ft Beka Flavour – Mazogo (Official Video)
Watch/Download Mazogo Video By Bwana Misosi Featuring Beka Flavour
DOWNLOAD VIDEO|MP4
DOWNLOAD AUDIO|MP3
Saturday, 29 June 2019
VIDEO | Pam D Ft Foby - Kizungu zungu (Official Video)
Kuwa Na Muonekano Wa Kijanja/Classic Ukipendezeshwa Na Cutting Master Barbershop (PICHA)
Badili muonekano wako na kuufanya uwe bora na wa kisasa kwa kutembelea Saloon ya kisasa ya Cutting Master ambayo hutoa huduma zake kwa watu wa rika zote bila kijali mkubwa wala mdogo.
Cutting Master ni saloon ya kisasa ya kiume pamoja na kike yeye huduma bora za viwango vya kimataifa inayofanya kila aina ya urembo kichwani mwa mteja anayefika maeneo ya kazini kwao.
Cutting Master inatoa huduma zote muhimu za usafi wa nywele kwa wanaume na kike ambayo inamfanya mteja baada ya kuhudumiwa kujikuta ni msafi kama ametoka nyumbani.
Huduma zao pia huwa wanazifanya popote utakapowahitaji hata kama ni nyumbani kwako⇓
Huduma Zinazotolewa Ni;
1:Stymer
2:Black Mask
3:Massage Ya Kichwa
4:Scrub
5:Pedicure
WANAPOPATIKANA;
Kimara Mwisho Karibu Na Jengo La TRA
MAWASILIANO;
Call/Whatsapp: 0714757882
Facebook: Cutting Master Barbershop
Follow Instagram: cutting_master_barbershop
BAADHI YA WATEJA WALIO SWITCH UPTOWN VIBE
MAWASILIANO;
Call/Whatsapp: 0714757882
Facebook: Cutting Master Barbershop
Follow Instagram: cutting_master_barbershop
AUDIO | Bwana Misosi Ft Beka Flavor - Mazogo (Official Audio)
Listen/Download Mazogo By Bwana Misosi Featuring Beka Flavour Mp3
AUDIO | Vanessa Mdee - Moyo (Official Audio)
Friday, 28 June 2019
VIDEO | Chin bees - GUSA (Official Video)
VIDEO | Logic Ft Eminem - Homicide (Official Video)
Watch/Stream Homicide Video By Logic Featuring Eminem
Homicide video toka kwa Rapa Logic akiwa na Eminem, ngoma hii inapatikana kwenye album ya sita ya Logic 'Confessions of a Dangerous Mind'
#SPORTS:Isco Kuchukua Nafasi Ya David Silva
Kiungo wa Manchester City, David Silva ametangaza kuondoka klabuni hapo mwishoni mwa msimu ujao na tayari kocha wake, Pep Guardiola anamtaka kiungo wa Real Madrid, Isco kuchukua nafasi ya staa huyo mwenzake wa Hispania.
Nafasi ya Isco au Francisco Roman katika kikosi cha Kocha Zinedine Zidane inatazamiwa kupotea zaidi baada ya klabu hiyo kuendelea kuwanunua mastaa wa nguvu kikosini lakini inaeleweka Guardiola ni shabiki mkubwa wa Isco.
Guardiola amekuwa akivutiwa na uwezo wa Isco tangu wakati alipokuwa akiifundisha Barcelona na kuna uwezekano mkubwa akatoa dau la kumchukua staa huyo wakati huu dau lake likizidi kushuka zaidi Santiago Bernabeu.
Kocha Zidane amemhakikishia namba Isco katika kikosi cha kwanza, hata hivyo Real Madrid itaipa uzito ofa yoyote ambayo itapelekwa kwao.
Hadi saaa Manchester City haijafanya usajili wowote mkubwa unaoweza kushtua na mipango ya Guardiola ni kutoa changamoto zaidi kwenye Ligi ya Mabingwa wa Ulaya msimu ujao.
#SPORTSPep Guardiola Bado Ana Mpango Wa Kurudi Barcelona
Kocha wa Man City, 'Pep Guardiola' amesema kuwa bado ana mpango wa kurudi Barcelona siku moja.
Kocha huyo mwenye miaka 48, ambaye aliiongoza klabu ya Man City kupata vikombe vitatu msimu uliopita, amekuwa Etihad kwa miaka mitatu. Kocha huyo pia amepata ubingwa wa Ligi Kuu England mara mbili.
Kocha huyo mzaliwa wa Catalonia, ataingia msimu wa tatu akiwa na Man City na amebakiza miaka miwili katika mkataba wake.
Kocha huyo wa zamani wa Barcelona aliweka wazi kwamba anaweza kuongeza mkataba, lakini sasa ameibuka tena na kutamka, anatamani kurudi kwao na kuifundisha Barcelona kwa mara nyingine.
Siku za karibuni alitamka; "Nitakaa Man City kwa miaka miwili zaidi kama wananihitaji.Ninafurahia maisha hapa.”
Hata hivyo ameibuka upya na kutamka; “Nitarudi Barcelona hivi karibuni. Nimeshatembea klabu nyingine, nimefanya vizuri, nadhani bado ninahitajika Barcelona. Nitarudi huko.”
#SPORTS:AC MILAN YAFUNGIWA KUSHIRIKI MICHUANO YA ULAYA
KLABU ya soka ya AC Milan ya Italia yenye makazi yake katika uwanja wa San Siro, itatumikia kifungo cha mwaka mmoja kutokushiriki michuano ya Ulaya inayoandaliwa na shirikisho la soka la Ulaya (UEFA) ikiwa ni Klabu Bingwa Ulaya na Europa Ligi
Klabu hiyo iliyomaliza katika nafasi ya tano kwenye ligi ya soka Italia, Serie A, imekumbana na kifungo kutoka kwa Mahakama ya Usuluhishi ya Michezo baada ya kuvunja sheria ya ‘Financial Fair Play’ na hivyo haitashiriki michuano ya Europa ya msimu ujao
Kuna uwezekana mkubwa kuwa kwa sasa nafasi yao ya kushiriki Ligi ya Europa itachukuliwa na Torino, iliyomaliza katika nafasi ya saba kwenye Ligi ya Serie A msimu uliopita. Roma iliyokuwa nafasi ya sita ilishafuzu.
Milan ilifanikiwa kukata rufaa dhidi ya kifungo cha miaka miwili ilichopewa awali na UEFA msimu wa majira ya joto uliopita baada ya kupatikana na hatia ya kuvunja sheria hiyo ya ‘Financial Fair Play’
VIDEO | Ya Levis Ft Diamond Platnumz - Penzi (Official Video)
Watch/Download Penzi Video By Ya Levis Featuring Diamond Platnumz
BADILI MUONEKANO WA NYWELE ZAKO NA KUWA CLASSIC HAPA
DOWNLOAD VIDEO|MP4
DOWNLOAD AUDIO|MP3
VIDEO | Ommy Dimpoz X Petra - One & Only (Official Music Video)
AUDIO | Ommy Dimpoz X Petra - One & Only (Official Audio)
Listen/Download One N Only By Ommy Dimpoz and Petra Mp3
#TEKNOLOJIA:Watumiaji Wa Whatsapp GB & PLUS Kufungiwa
Zoezi la WhatsApp kuwafungia kwa muda watumiaji wa GB WhatsApp na WhatsApp Plus lilianza takribani miezi miwili iliyopita limezidi kuchachamaa, na sasa kampuni ya WhatsApp imetoa angalizo kwa wale ambao hurudi tena kwenye apps hizo tena na tena.
Katika taarifa rasmi iliyotolewa na WhatsApp – inayomilikiwa na kampuni ya Facebook, wamesema “kama unapokea ujumbe ndani ya app ikisema akaunti yako imefungiwa kwa muda (temporarily banned) ina maanisha unatumia toleo lisilo rasmi la WhatsApp.
Tayari Facebook wameonesha wapo njiani kukaribisha matangazo kwenye app ya WhatsApp na hivyo uwepo wa matoleo ya WhatsApp ambayo si rasmi ni hatari katika mpango wao huo. Ila pia ni matoleo ambayo data za mtumiaji zipo kwenye hatari ya udukuzi.
#SPORTS:Neymar Ataka Kurudi Barcelona
Mshambuliaji wa Paris St-Germain Neymar anataka kurudi Barcelona kulingana na naibu rais wa klabu hiyo .
Hatahivyo Jordi Cardoner amesisitiza kuwa hakuna mawasiliano yoyote yaliofanyika kati yao na mchezaji huyo ambaye alihudumu miaka minne katika klabu hiyo ya Nou Camp.
Mchezaji huyo wa Brazil ametaabika katika klabu ya PSG tangu aliposajiliwa kwa dau lililovunja rekodi la dunia 2017.
''Kile ninachoamini ni kwamba Neymar anataka kurudi, Cardoner alisema''. ''lakini kusema kwamba tumeanza mikakati ya kutaka kumsajili hicho ni kitu ambacho sitakubaliana nacho''.
Kumekuwa na uvumi kuhusu ni klabu gani Neymar atahamia iwapo ataondoka PSG , swala ambalo Cardoner aliulizwa katika mkutano na vyombo vya habari siku ya Alhamisi.
Alikiri kwamba ni wazi alikuwa anataka kurudi Barca, lakini akaongezea kwamba klabu yake haijaamua kuhusu kumrudisha tena mchezaji huyo ama hata kufanya mazungumzo naye.
''Hatusajili mtu yeyote kwa sasa husan mchezaji huyu ambaye hatujawasiliana naye'', alisema.
Uhamisho wa Neymar wa kuelekea PSG 2017 ulivunja rekodi ya dunia huku klabu hiyo hiyo ya ligue 1 ikilipa dau la £200m).
Aliisaidia timu hiyo kushinda mataji kadhaa ya ligi hiyo na kufunga magoli 34 katika mechi 36, lakini kipindi chake katika uwanja huo wa Parc des Princes kiligubikwa na uvumi wa makabiliano katika chumba cha maandalizi mbali na mafuruku mbili za kumpiga shabiki na kumtusi afisa mmoja wa mechi.
Kulingana na ripoti katika vyombo vya habari vya Uhispania , amejitolea kupunguziwa mshahara kwa Yuro milioni 12 kila mwaka ili kuweza kurudi katika klabu hiyo.
Antoine Griezmann anatarajiwa kujiunga na klabu hiyo ya Catalan kutoka Atletico Madrid kwa dau la Yuro milioni 120 huku Frenkie de Jong akisaini kwa Yuro milioni 75 kutoka Ajax.
AUDIO | Ya Levis Ft Diamond Platnumz - Penzi (Official Audio)
Listen/Download Penzi By Ya Levis Featuring Diamond Platnumz Mp3
Subscribe to:
Comments (Atom)












































