Saturday, 29 June 2019

Kuwa Na Muonekano Wa Kijanja/Classic Ukipendezeshwa Na Cutting Master Barbershop (PICHA)



Badili muonekano wako na kuufanya uwe bora na wa kisasa kwa kutembelea Saloon ya kisasa ya Cutting Master ambayo hutoa huduma zake kwa watu wa rika zote bila kijali mkubwa wala mdogo.


Cutting Master ni saloon ya kisasa ya kiume pamoja na kike yeye huduma bora za viwango vya kimataifa inayofanya kila aina ya urembo kichwani mwa mteja anayefika maeneo ya kazini kwao.
Cutting Master inatoa huduma zote muhimu za usafi wa nywele kwa wanaume na kike ambayo inamfanya mteja baada ya kuhudumiwa kujikuta ni msafi kama ametoka nyumbani. 

Huduma zao pia huwa wanazifanya popote utakapowahitaji hata kama ni nyumbani kwako⇓


Huduma Zinazotolewa Ni;
1:Stymer
2:Black Mask
3:Massage Ya Kichwa
4:Scrub
5:Pedicure

WANAPOPATIKANA;
Kimara Mwisho Karibu Na Jengo La TRA

MAWASILIANO;
Call/Whatsapp: 0714757882
Facebook: Cutting Master Barbershop

Follow Instagram: cutting_master_barbershop


BAADHI YA WATEJA WALIO SWITCH UPTOWN VIBE














MAWASILIANO;

Call/Whatsapp: 0714757882
FacebookCutting Master Barbershop

Follow Instagram: cutting_master_barbershop


No comments:

Post a Comment