Thursday, 27 June 2019

#SPORTS:Matokeo Ya Mechi Ya Taifa Stars & Kenya Afcon 2019

FULL TIME Kenya 3- 2 Tanzania.

Taifa Stars inayaaga rasmi mashindano ya Afcon 2019 ikiwa na mechi moja mkononi dhidi ya Algeria.

Magoli Ya Tanzania Yamefungwa na; 
  • S Msuva Dk 6
  • Mbwana Samatta Dk 41
Magoli Ya Kenya Yamefungwa na;
  • M Olunga Dk39
  • J.Omolo Dk 62
  • M.Olunga Dk 80
Statistics Ipo Hapa Chini⇊

Sasa shughuli inabaki kati ya Senegal na Kenya, nani atasonga mbele kwenye hatua ya 16 bora.

Tayari Algeria ameshatinga 16 bora baada ya kumtwanga Senegal bao 1-0 leo.

No comments:

Post a Comment