Mtoto wa Cardi B na Offset 'Kulture' anatimiza mwaka mmoja Julai 10 mwaka huu, na hii ndio zawadi ya gharama ambayo wazazi wake wameandaa kumpatia.
Mtandao wa TMZ umeripoti kuwa Cardi na Offset wamepanga kumpendezesha mtoto wao kwa vito vya thamani mwilini, sonara aliyepatiwa kazi hiyo Eliantte amesema Cardi amelipa kiasi cha Tsh. milioni 220.
Mtandao wa TMZ umeripoti kuwa Cardi na Offset wamepanga kumpendezesha mtoto wao kwa vito vya thamani mwilini, sonara aliyepatiwa kazi hiyo Eliantte amesema Cardi amelipa kiasi cha Tsh. milioni 220.
Hafla hiyo ya Birthday ya kwanza ya Kulture itakuwa ya kipekee, Cardi B aliwahi kuzungumza kuwa itamgharimu kiasi cha ($400K) sawa na Tsh. milioni 900.
Zawadi ya Cheni Iliyogharimu Dola$100,000 (Tsh229,860,000.) Itazame hapo chini Video
KULTURE new chain ❤️WORD PARTY its her fav ❤️Thanks @eliantte .....YOU KNOW A BAD BITCH GON SPOIL HER.
1.1m Likes, 14.1k Comments - MOSTHATEDCARDI (@iamcardib) on Instagram: "KULTURE new chain ❤️WORD PARTY its her fav ❤️Thanks @eliantte .....YOU KNOW A BAD BITCH GON SPOIL..."

No comments:
Post a Comment