Monday, 1 July 2019

#ENEWS:50 Cent Amkana Mwanaye (PICHA)

Rapper 50 Cent ameingia kwenye headline kwa mara nyingine, hii ni baada ya kumkana hadharani kijana aitwaye Marquise Jackson (21) anayedaiwa kuwa ni mtoto wake.

50 Cent kupitia ukurasa wake wa Instagram, amesema kuwa kijana huyo sio mtoto na tayari ameshapima damu kuhakikisha hilo.
Yule sio mtoto wangu, Nimeshapima damu. Nitolee umbumbavu wako hapa,"ameeleza 50 Cent kwa kumjibu shabiki yake ambaye aliuliza kwanini? 50 Cent kwenye show yake na Snoop Doggy walimbania dogo Marquis Jackson asiingie backstage na kumuacha nje kwenye viti vya kawaida.

No comments:

Post a Comment