Klabu ya Chelsea, imemsajili kiungo wa klabu ya Real Madrid, Mateo Kovacic ,kwa dau la uhamisho £50m. Kovacic amesaini mkataba wa miaka 5.
Chelsea, imefungiwa kufanya usajili lakini mchezaji huyo alikuwa kwa mkopo ndani ya timu hiyo, kwa sababu jina lake lilikuwepo Chelsea, hivyo wanaruhusiwa kusajili isipokuwa mchezaji ambaye yupo nje ya timu yao hawaruhusiwi kumsajili.
Chelsea Wathibitisha Hilo.Nimekuwekea Video hapo chini
@mateokovacic8 is here to stay! 🙌 The Croatian World Cup finalist has joined the Blues on a permanent deal from Real Madrid! ✍️ Full details on our website. 👍 #CFC #Chelsea
18.8k Likes, 429 Comments - Chelsea FC (@chelseafc) on Instagram: "@mateokovacic8 is here to stay! 🙌 The Croatian World Cup finalist has joined the Blues on a..."

No comments:
Post a Comment